Header Ads

Header ADS

KINGUNGE NGOMBALE MWIRU ASEMA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]KIMEKOSA UEREDI NA UADIRIFU WA KUWATUMIKIA WATANZANIA

Ikiwa ni siku chache baada ya Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru, kutangaza kujitoa na siasa ndani ya chama cha CCM.Ambacho kimemlea na amekulia kwa miaka mingi ndani ya CCM.Ameamua kukigeuka  na kuenda upande wa pili [UKAWA]. Kwamadai ya kuwa anataka mabadiliko kwani mabadiliko hayawezi kutoka ndani ya CCM.





   Mwanasiasa huyo alikuwa ni miongoni mwa makada wachache watiifu waliokuwa wamesalia walau na chembembe ndogo za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na waumini wakubwa wa ujamaa.
     Kingunge amekuwa mwandishi mkuu wa ilani wa chama cha CCM,Tangu kuasisiwa  upya kwa  mfumo wa vyama vingi nchini  mwaka 1992,kwa vyovyote iwavyo CCM wamepoteza mtu muhimu kwa uhai  na mustakabali wake.

No comments

Powered by Blogger.