Header Ads

Header ADS

Serikali yakiri pengo la Sitta kuto zibika

Serikali imekiri kwamba pengo la Spika mstaafu  Samuel Sitta  ni kubwa na kamwe  halitazibika ndani ya serikali ,chama na jamii kiujumla.Hayo yamezungumzwa na Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa wakati akitoa salamu za Rais John Magufuli  makamu wake Samia Suluhu Hassan  kwenye maziko ya Spika huyo yaliyofanyiko kitongoji cha Menge Urambo Mkoani Tabora.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary wakiweka udongo
kwenye kaburi la Spika mstaafu
Samuel Sitta katika maziko yaliyo
fanyika Urambo Tabora.

No comments

Powered by Blogger.