Header Ads

Header ADS

Mahakama ya zuia Mbowe asikamatwe

  Februari 21,2017 Mahakama Kuu iliamuru Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake yatakapo sikilizwa.Siku ya Ijumaa

















     Kiongozi huyo wa kambi  Rasimi ya Upinzani Bungeni tarehe 10/02/2017 ailfungua kesi ya kikatiba dhidi ya RC, Paul Makonda ,Simon  Sirro .Aidha Mahakama imewashauri upande wa mlalamikaji kurekebisha hati ya mashitaka  kisha wairudishe tena siku ya Jumatatu.
       Siku ya jana Mawakili wa Mbowe waliwekapingamizi kutokamatwa kwa kiongozi huyo lakini kabla taarifa hasijalifikia Jeshi la Polisi Mbunge huyo wa Hai akatiwa nguvuni.
                 

No comments

Powered by Blogger.