Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi Alexei Navalny afungwa jela siku 15.
Kiongozi huyo wa Upinzani Nchini Urusi Alexei Navalny amehukumiwa kifungo cha siku 15 jela kw kukiuka amri za polisi wakati wa maandamano makubwa ya siku ya jumapili .
Bwana Navalny alikuwa miongoni mwa mamia ya watu walio kamatwa kwa kuhusika kwenye mikutano kadha kote nchini .
Mahakama mjini Moscow mapema ilmpiga faini ya karibu dola 350 kwa kupanga maandamano yaliyoharamishwa.
No comments
Post a Comment