Header Ads

Header ADS

Sababu za Waziri Mwakyembe kuagiza Nay wa Mitego kuachiwa

 Waziri wa habari ,sanaa ,michezo na utamaduni DK Harrison Mwakyembe ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru msanii Nay waMitego ambaye alikuwa akishikiliwa na Jeshi hilo.
















         Waziri mwenye dhamana hiyo ya habari ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi  ya wimbo wa WAPO na baadala yake uendelee kupigwa kama nyimbo nyingine .Akiongea na  waandishi wa habari mjini Dodoma DK Mwakyembe amesema hata Rais Magufuli amefurahishwa na wimbo huo wa WAPO na kumshauri msanii huyo kama inawezekana aendelee kutaja watu watu wengine kama vile  wakwepa kodi ,wauza unga ,wanaotumia dawa za kulevya pamoja na watu wengine wasio na maadili mema katika jamii.  

No comments

Powered by Blogger.