Mbunge wa Kilombero mheshimiwa Peter Lijualikali leo aachiwa huru
January 1/2017 Mbunge wa Kilombero kupitia CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero.Mbunge Lijualikali alishitakiwa kwa kuwashambulia polisi siku hiyo ya uchaguzi.
Leo 30 machi 2017 Mahakama ya kanda ya Dar es salaam imetengua hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya kilombero na kumuachia huru mbunge huyo wa kilombero
Leo 30 machi 2017 Mahakama ya kanda ya Dar es salaam imetengua hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya kilombero na kumuachia huru mbunge huyo wa kilombero
No comments
Post a Comment