Header Ads

Header ADS

Kamati ya Bunge imemuhoji RC Makonda mjini Dodoma

 Kamati ya haki,maadili na madaraka ya Bunge imemuhoji mkuu waMkoa wa Dare s Salaam  Paul Makonda anayetuhumiwa kuingilia haki,uhuru na madaraka ya Bunge.Kufuatia kauli yake ya kwamba wabunge wanasinzia Bungeni jambo linalotafsiriwa kudharau chombo hicho.























  Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya haki ,maadili na madaraka George Mkuchika amedhibitisha kuhojiwa kwa RC Makonda na kuahidi kuiwasilisha ripoti kwa Spika wa Bunge Job Ndugai aliyewatuma kumuhoji.

No comments

Powered by Blogger.