Ndege yenye kasi zaidi dunianikutengenezwa Australia hadi Marekani kwa kutumia saa sita
Kampuni ya Boom Supersonics XB-1 ambayo imeanza kutengeneza ndege ya kwanza yenye kazi zaidi duniani ambayo itaweza kusafirisha mtu kutoka bara la Australia hadi America ya kasikazini kwa muda wa saa sita tu.
Utengenezaji wa ndege hii utagharimu zaidi dola million 329 za marekani na inatarajia kukamilika mwaka 2020.

Utengenezaji wa ndege hii utagharimu zaidi dola million 329 za marekani na inatarajia kukamilika mwaka 2020.

No comments
Post a Comment