Aliyekuwa Waziri wa habari,sanaa ,michezo na utamaduni Nape Nnauye leo amekebidhi ofisi kwa Waziri mpya mwenye dhamana hiyo DK Harrison Mwakyembe .Makabidhiano hayo maalumu yamefanyika hii leo katika ofisi za Wizara mjini Dodoma.
1 comment
Hongera Nape kwa kukabidhi ofisi kwa amani
Post a Comment