Header Ads

Header ADS

Nape Nnauye akabidhi ofisi kwa waziri mwakyembe
























Aliyekuwa Waziri wa habari,sanaa ,michezo na utamaduni Nape Nnauye leo amekebidhi ofisi kwa Waziri mpya mwenye dhamana hiyo DK Harrison Mwakyembe .Makabidhiano hayo maalumu yamefanyika hii leo katika ofisi za Wizara mjini Dodoma.

1 comment

MACHWEO MEDIA said...

Hongera Nape kwa kukabidhi ofisi kwa amani

Powered by Blogger.