Singida united imefanya usajili mwingine wa mastaa wa kimataifa
Club ya Singida United ya Singida ambayo imepanda kucheza Ligi kuu Tanzania bara katika msimu wa 2017/2018.Leo march 26/2017 imedhihirisha kuwa imedhamiria kuleta upinzani katika michezo yake ya ligi kuu msimu ujao na wala sikuwa wasindikizaji
Singida imedhihirisha hiol kwa kutangaza kufanya usajili wawachezaji wawili wapya wa kimataifa kutoka Zimbabwe ambao ni Elisha Muroiwa mwenye umri miaka 27 na Wisdom Mtasa mwenye umri miaka 22. Wachezaji hao wote wamesaini mikataba ya miaka miwili.




No comments
Post a Comment