Baada ya taarifa ya makontena ya mchanga ya dhahabu Spika wa Bunge Job Ndugai kutembelea bandari leo
Moja kati ya habari ambazo zimekuwa zikijadiliwa kwa hivi karibuni ni pamoja na hili la bandari ya Daresaamu kuhusu kubainika kwa makontena 256 ya mchanga wa dhahabu yaliyo kuwa njiani kusafirishwa kwenda nje ya nchi siku chache baada ya Rais Magufuli kufanya ziara ya kushitukiza
Leo march 26/2017 Spika wa Bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Job Ndugai akiambatana na kamati ya Bunge ya nishati na madini wametembelea katika bandari ya DareSaalam lengo likiwa kutaka kupata ufafanuzi wa kina kuhusu makontena hayo ili bunge kama ni chombo cha kushauri serikali kuchukua hatua



No comments
Post a Comment