Header Ads

Header ADS

Rais Magufuli ateua waziri mpya wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo.













Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye balaaza la mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kuteua waziri mpya wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo ,,,,,,,na taarifa kamili ndio hii hapa chini kutoka IKULU.

                     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Machi 2017 amefanya mabadiliko madogo katika balaza la mawaziri.Katika mabadiko hayo Mhe.Rais amemteua Prof.Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi kuwa waziri wa katiba na sheria.
 
      Aidha Mhe.Dkt Magufuli amemteua Dkt.Harrison Geogre Mwakyembe kuwa waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo .
                Uteuzi huu unaanza mara moja

Wateule wote wataapishwa kesho mchana tarehe 24 Machi 2017 IKULU Jijini Dar es salaam



               Gerson Msigwa
                Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU
                  Dar es salaam

No comments

Powered by Blogger.