Meya Jacob alivyo wasilisha malalamiko katika tume ya maadili dhidi ya RC Makonda
Leo 22 march 2017 Meya wa Ubongo Boniphace Jacob amewasilisha kwenye tume ya maadili ya utumishi wa umma na viongozi dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dares Salaam Paulo Makonda kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki ,mali na ukiukwaji wa miiko ya viongozi .
Jacob amesema amefikisha malalamiko haya kama Raia wa kawaida il RC Makonda aitwe kwenye baraza la maadili ya uongozi ili ahojiwe.

No comments
Post a Comment