Mkurugenzi huyo wa kituo cha sheria na haki za binadamu wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia katika ofisi za Clouds media akiwa na askari wenye silaha .
Bisimba ametoa mwito kwa serikali imchukulie hatua za kinidham na kijinai mkuu huyo wa mkoa
No comments
Post a Comment