Header Ads

Header ADS

Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi''Professor Jay




















     Siku chache baada ya tukio la watu wasiofahamika kumteka rapa Roma Mkatoliki na wenzake watatu kisha kuwapeleka mahali kusikojulikana na baadaye kuonekana ,tukio hilo limezidi kuongeza hofu na mashaka kwa watu mbalimbali.
    April 11,2017 kupitia ukurasa wake wa istagram Mbunge wa Mikumi na staa wa Hip Hop bongo Josph Haule,Professor Jay] ameonesha wasiwasi wake juu ya matukio hayo.
 ''Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi sio kwasababu wananguvu sana.Bali ni kwasababu watu wema wamekaa kimya na kuacha kukemea mambo mabaya''

No comments

Powered by Blogger.