Kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama-Bashe
Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe Leo April 11,2017 amesimama bungeni na kuomba taarifa kwa mwenyekiti wa bunge baada ya waziri wa TAMISEMI,Geogre Simbachawene kumtaka mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe kuthibitisha tuhuma zake kwamba usalama wa taifa wamekuwa wakikamata watu kinyume cha sheria.
Mbunge Hussein Bashe akasimama na kusema ''CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama Mnasema hawakamati''kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama.
No comments
Post a Comment