Kikwete avunja rekodi ya kushangiliwa Bungeni
Raisi Mstaafu mheshimiwa Kikwete leo amevunja rekodi kwa kushaingiliwa na wabunge bungeni.
Raisi huyo ambaye alimsindikiza mkewa alitambulishwa mara baada ya Mkewe Salma Kikwete kuapishwa kuwa mbunge wa kuteuliwa
Baadhi ya walisikika wakisema tumekumiss"Huku wengine wakisema apewe awamu nyingine ya kuongoza .Wengine walitaka kikwete arusiwe kuhutubia jambo ambalo lilishindikana kwa wakati huo kutokana na sababu za kikanuni ambapo kabula ya kurusiwa kuhutubia ilitakiwa kanuni zitenguliwe kwanza.

No comments
Post a Comment