Header Ads

Header ADS

Hii ni historia ya msanii wa kizazi kipya wa bongofleva aliyopo makambako koani Njombe





wasiliana naye kwa simu namba 0744546840.
































 Jina langu naitwa Nadhili  Ayubu Njalila  .Nimezaliwa mkoani Njombe katika mji wa Makambako. Mwaka 11/11/1998.Maishani mwangu napenda sana mziki kwanitoka nilipokuwa mdogo nilipenda sana kuimba.Ndipo nilipo gundua kuwa ninakipaji cha kuimba."Alisema Nadhili alipohojiwa na machweo communication news".Alipo hojiwa kuhusiana na elimu yake majibu yake ni haya "Nilisoma mpaka form two nikaacha kusoma kutokana na matatizo ya kifamilia.Nlitunga nyimbo kadhaa moja nikafaniksha kurekodi nyimbo inayokwenda kwa jina la" Mapenzi ni Nyota"Alipo hojiwa namna ya kutoa albamu yake

No comments

Powered by Blogger.