Header Ads

Header ADS

Mbunge Heche amemtuhumu DC, Tarime kusaini mkataba kinyume na sheria.





















   Mbunge wa Tarime vijijini ''CHADEMA''John Heche amemtupia tuhuma Mkuu wa` wilaya ya Tarime Glorious Luoga akidai amesaini mkataba kinyume cha sheria.
   Heche amezungumza na waandishi wa habari leo 12,2017 na kusema licha ya mkuu huyo wa wilaya kusaini mkataba kinyume na sheria pia amekuwa akitumia nguvu na vitisho kwa wananchi na eneo hilo kwa lengo la kupora ardhi yenye ukubwa wa hekta zaidi ya 34,000 ambayo hukaliwa na wakazi 30,000 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha miwa.

No comments

Powered by Blogger.