Rais akiangalia majina ya wataalamu mbalimbali.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia majina ya wataalam mbalimbali waliohusika katika mchakato wa ujenzi wa reli ya kisasa[Standard Gauge]itakayo anzia Jijini Dar es salaam hadi Morogoro na baadaye hadi Kigoma na Mwanza.Wakwanza kulia ni kaimu mtendaji wa kampuni ya hodhi ya rasilimali za reli RAHCO Masaya Kidogosa akiwa ameshika majina hayo.
No comments
Post a Comment