Header Ads

Header ADS

Rais akiwasalimia wananchi


























Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliohudhulia kwenye sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa reli za kisasa[standard gauge]itakayo anzia jijini Dar es salaamhadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.

No comments

Powered by Blogger.