Header Ads

Header ADS

Nchi zilizotajwa kuwa` na usalama zaidi duniani 2017 Afrika zipo mbili.
























    Ni wazi inafahamika kuwa amani na usalama ni msingi katika maisha ya binadamu ambapo bila kuwa na usalama hakuna kinachoweza kufanyika hivyo uwepo amani mahali popote kunapelekea mambo mengi kufanikiwa.
       Leo April 12,2017 nimekutana na stori ambayo inaihusu World Economic Forum kutoa orodha ya nchi zenye usalama zaidi duniani ambapo katika taarifa ya mtandao wa The Teregraph, April 11,2017 nchi ya Finland imetajwa kuwa namba moja kwa kuwa na usalama zaidi duiani huku nchi zenye ushistoria ya vita kama Rwanda,Oman na United Arab Emiret zikiingia kwenye Top ten mwaka 2017.
      Aidha katika orodha hiyo pia zimetajwa nchi zisizo na usalama duniani ambapo Afrika nchi za Kenya,Ethiopia,DR Congo na Mali zimetajwa kama nchi zenye viashiria vya vurugu na zisizo na usalama ambapo kwa mujibu wa World Economic Forum nchi hiz hupata watalii wachache kwa mwaka ukilinganisha nchi nyingie.
                            The world's 20 safest countries according to the WEF.

  1. Finland-rating-6.65
  2. UAE-6.6
  3. Ice land-6.57
  4. Oman-6.49
  5. Hongkong-6.47
  6. Singapole-6.45
  7. Norway-6.41
  8. Switzerland-6.41
  9. Rwanda-6.39
  10. Qatar-6.33
  11. Lexerburg-6.32
  12. Portugal-6.32
  13. New zeland-6.31
  14. Austria-6.28
  15. Estonia-6.26
  16. Sweden-6.22
  17. Slovenia-6.2
  18. Spain-6.16
  19. Netherland-6.14
  20. Moroco-6.14.


No comments

Powered by Blogger.