Miongozo iliyoommbwa na wabunge Peter Msigwa na Sugu leo
Buge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limeendelea mjini Dodoma kwa kipindi cha maswali na majibu.Ni bunge la 11 Mkutano wa saba kikiwa ni kikao cha tano ambapo kazi kubwa ilikuwa ni wabunge kujadili mapitio ya mwelekeo wa kazi ya serikali na bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018.
Na baadhi ya wabunge walisimama kuomba miongozo akiwemo Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi.
No comments
Post a Comment