Simtambui Lipumba sio Mwenyekiti wa CUF''Maaalim Seif
Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif amefanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha Azam Twona kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro.Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi wa aliochukua wa kumuweka kando na nafasi yake kukuaimiwa na Magdalena Sakaya.
Maalim Seif ameongeza kwa kusema hawezi kwenda ofisi za Buguruni,Dar es salaam kwa kuwa makao makuu ya chama hicho yapo Zanzibar.
No comments
Post a Comment