Header Ads

Header ADS

Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5,2017
























   Wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia mapendekezo ya ya makadilio ya mapato na matumizi ya wizara ya Habari,Utamaduni ,Sanaa,na michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na kati ya waliopata nafasi ya kuwasilisha maoni yao ni pamoja na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu na mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi.

No comments

Powered by Blogger.