Header Ads

Header ADS

Serikali baada ya taarifa ya mbunifu wa Nembo ya Taifa

       Siku chache zilizopita kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijami iliripotiwa habari mtu ambaye alibuni nembo ya taifa ambapo taarifa hizo zilieleza juu ya hali na afya yake kwa ujumla.
        Sasa new story jana May 25,2017 ni kuwa baada ya kuzipata taarifa hizo serikali kupitia Naibu waziri wa Afya Hamis Kigwangalla imemtembelea mzee huyo ambaye alikuwa amelazwa katika hospitali ya Hamana na kuamua kumhamishia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi.

No comments

Powered by Blogger.