Header Ads

Header ADS

Aliyelazwa Muhimbili siye aliyechora nembo ya taifa''-Familia

        Ikiwa ni siku chache tangu taarifa ya mzee ambaye alidaiwa kubuni na kuchora nembo ya taifakuripotiwa na seriksli kuamua kumpatia msaada wa matibabu.Familia moja imeibuka na kudai mzee huyo siye anayetajwa kuhusika kubuni siyo bali ni mzee wao ameshafariki.
      Serikali kupitia Wizara ya Afya iliamua kumsaidia kimatibabu Mzee Francis Maige maarufu kama Ngosha ambaye alilazwa Hospitali ya Hamana na kuamua kumhamishia Hospitali ya taifa Muhimbili ambapo baada ya tukio hilo familia nyingine imeibuka na kudai kuwa mzee wao ambaye sasa ni marehemu ndiye mchoraji wa nembo hiyo.
''Ushahidi ambao tunao ni wale watu wa rika lake ndiyo walikuwa wanashuhudia kwamba yeye ndiye aliyechora..........    

No comments

Powered by Blogger.