Header Ads

Header ADS

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ashangaa bidhaa za Tanzania kuingia Kenya.














  Mrisho Gambo ,ambaye ndiye mkuu wa Mkoa wa Arusha na unaopakana na Nchi jirani ya Kenya ameshangazwa na kitendo cha Nchi ya Kenya kukatazwa bidhaa za Tanzania za unga wa ngano kuingia Kenya.
       Kauli hiyo imesemwa baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kutembelea Mpaka wa Namanga na kuona malori zaidi ya 40 yaliyo beba unga wa ngano wa wafanyabiashara toka Tanzania na kuingia nchini Kenya kuzuiliwa kuingia nchini humo.
  

No comments

Powered by Blogger.