Wananchi Nchini Kenya waamka usiku wa manane kwenda kwenye vituo vya kupigia kura.
Nchi ya Kenya imefanya uchaguzi mkuu leo Augost 8,2017,kama kawaida wanchi wa kenya wamekuwa na shahuku ya kumpata kiongozi wao kwa kutumia wajibu wao wa kidemokrasia wa kupiga kura.
Kwa mjibu wa taarifa zilizotufikia kutoka Nchini Kenya Wananchi wameamka usiku wa manane kwenda kutimiza ndoto zao za kumpata kiongozi wao kwa njia ya kidemokrasia.Wananchi waliokuwepo kwenye kituo cha Mutomo wamefanya maombi huku wakishirikisha maofisa wa tume ya Uchaguzi isiyokuwa na mipaka [IEBC] wa kituo hicho kuombea uchaguzi wa amani.
Katika kituo cha kupigia kura cha Embakasi Social Hall kwenye Jimbo la Embakasi East wananchi wamejihimu kwenye kituo kuanzia saa tisa usiku wakiwa kwenye foleni ndefu kama kilomita tatu.
Baadhi ya maeneo mengine yameonekana na vijana wakipuliza mavuvuzela kwa ajili ya kuwaamusha watu kwenda kupiga kura.
Wanachi wakiwa kwenyefoleni ya kupigia kura Nchini Kenya katika kituo cha Polytechnic katika barabara Haile selassie Avenue,

No comments
Post a Comment