Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wafanyamazungumzo na Yoweri Mseven wa Uganda katika Mkoa wa Tanga
Rais Magufuli ,akimpokea mgeni wake Yoweri Mseveni katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekwaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa usafirishaji wa mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Dr Jonh Pombe Magufuli akiwa na mazungumzo na mgeni wake Yoweri Mseven Rais wa Uganda katika Ikulu ya Tanga.
Dr Jonh Pombe Magufuli akiwa na mazungumzo na mgeni wake Yoweri Mseven Rais wa Uganda katika Ikulu ya Tanga.
No comments
Post a Comment