Mahakama kuu ya Tanzania yatupilia mbali rufaa ya Wabunge 8 .waliota rufaa ya kupinga kuapishwa wabunge walioteuliwa na Ibrahimu Lipumba baada ya kuvuliwa uanachama
Mahakama kuu kanda ya Dare salam imeitupilia mbali pingamizi la wabunge 8.wa Viti maalum waliofutwa uanachama na Mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa Vyama Pr. Ibrahim Lipumba .
Pingamizi hiyo ilikuwa inaitaka Mahakama kuu ya Tanzania kutengua uteuzi wa wateule 8 wasiapishwe na Bunge .Uamuzi huo umetolewa na Jaji Lugano Mwandambo ambaye amesema ametupilia mbali pingamizi hilo la kuzuia kuapishwa kwa wabunge hao wateule 8.

No comments
Post a Comment