Header Ads

Header ADS

Mchungaji maarufu nchini Afrika kusini awalisha mende waumini wake.

























          Mhubiri huyo maarufu anayetumia nyoka nchini Afrika kusini  Penuel Mnguni  amewalisha mende ndugu wawili katika mkusanyiko wa kanisa lake akisema kuwa wadudu hao walibadilika na kuwa   na ladha ya jibini .
         Kisa hicho kinajiri takribani miezi mitano baada ya Mnguni katika ibada  iliyoandaliwa na nabii TB  Joshua na kukili  na Joshua kwamba kuwalisha watu haijaandikwa katika biblia.
       Kanisa la Mnguni lilichapisha katika mtandao wa fecebook kuhusu tukio hilo la kula mende mapema mwezi huu mhubiri huyo alimwita mende na kuja katika kanisa hilo.Baadaye aliwaita wafuasi na kujitokeza katika kanisa hilo na kula ndipo ndugu wawili walipojitokeza na kula pamoja  na walipokuwa wanakula bwana charles alihisi anakula jibini na bwana Eric ,akihisi anakula kiungo  ndipo taarifa ilichapisha katika mtandao wa kijamii fecebook .

No comments

Powered by Blogger.