Header Ads

Header ADS

Jeshi la Polisi nchini Zimbabwe zimesoma taarifa zake kwenye kituo cha Runinga cha Serikali ZBC ,ikisemakuwa inachukua hatua za kuwalenga waharifu .

                          Jeshi la  Zimbabwe limesema kuwa  hayo siyo mapinduzi ya Kijeshi na Raisi Mugabe yupo  salama ,Kwa mjibu wa` mashuhuda milio  mikubwa  ya Risasi ilisikika ikilia   katika maeneo ya kaskazini mwa mji mkuu  Harare mapema hii leo .                                 
              Taarifa hiyo ya Jeshi ilikuja saa kadhaa  baada ya kudhibiti kituo cha ZBC .Mwanamume mmoja aliyekuwa amevalia  sare ya Jesha , amesema kuwa Jeshi linataka kukabiliana  na watu ambao wanatenda uhalifu  unao leta madhara  ya kijami,  na kiuchumi  nchini Zimbabwe  wakati tutakapo maliza wajibu wetu  tunatarajia kuwa hali itarudi na kuwa sawa
              Taarifa hiyo ilisemwa kuwa Mgabe ambaye kwa sasa ana umri wa miaka  93 na familia yake wapo salama.Taarifa lazimi hasijasema ninani anaye ongoza hatua hiyo ya kijeshi.

No comments

Powered by Blogger.