Kesi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ya kumtusi Rais Jonh Pombe Magufuli imeahirishwa baada ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Desderi Kamugisha anayesikiliza kesi hiyo kutokuwepo Mahakamani hapo .Akiairisha kesi katika Mahakama hiyo ,Hakimu Jasmine Abdul , alisema kesi hiyo haiwezi kuendelea sababu Hakimu anaye sikiliza kesi hiyo hayupo 'Naairisha kesi hii mpaka 14 Disemba 2017 kwa sababu Hakimu Kamugusha hayupo na hatakuwepo na hatakuwepo kwa muda labda hata tarehe hiyo ya weza ikapangiwa hakimu mwingine au ikaahirishwa hadi atakapo rudi ;Alisema'
No comments
Post a Comment