Wakili apinga ushahidi wa video katika kesi ya Lema.
Wakili wa utetezi , John Mallya akipinga ushahidi wa Video wa Ofisi wa Polisi Inspekta Ariestides Kasigwa kuwasilishwa katika mahakama ya Wilaya ya Arusha , Alisema hautakuwa na uhalisia kwa kuwa siye aliyeandaa video hiyo .
Ikumbukwe kuwa ushahidi uliowekewapingmizi kuwasilishwa mahakamani hapo ni ripoti ya uchunguzi wa mkanda wa video [tepu] na CD zinazodaiwa kumrekodi Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ,Akitoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais ,Magufuli.
No comments
Post a Comment