CHADEMA wakata rufaa Kamati ya Taifa ya Maadili
Kutokana na kutoridhishwa na sababu ya kuondolewa kwa wagombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema . Chama hicho kina kusudia kuwasilisha malalamiko yake katika kamati ya maadili ya Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema Reginald Munisi wakati akiwa anaongea na waandishi wa habari alisema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi [NEC ] Imeshindwa kutoa sababu za kuondolewa kwa wagombea wao katika Kata Tano za Mjini Tunduma na Kata ya Gangilonga katika Manispaa ya Iringa.
Reginald Munisi amesema kuwa tumepeleka malalamiko yetu katika chombo hicho na tusipopata msaada tuta kwenda kamati ya maadili ya Rufaa kabla ya kwenda Mahakamani.

No comments
Post a Comment