Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii Jinsia ,Wazee na Watoto, amegoma kuzindua majengo ya Chuo cha Afya
Ndungulile ,ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ,maendeleo ya jamii jinsia , wazee na watoto amegoma kuzindua majengo ya Chuo cha Afya cha Waganga wasaidizi Mkoani Mara kutokana na kutoridhishwa na matumizi ya fedha shilling milioni 500 ,ambazo zilitolewa kwaajili ya matumizi ya ujenzi huo.
Wakati akiwa katika Ziara ya kukagua shughuli za ujenzi na ukarabati wa majengo ya Chuo hicho kilichopo Musoma ikiwa ni mwendelezo wa Ziara yake katika kukagua hali ya utoaji wa huduma za afya Mkoani humo.
Dkt .Ndungulile amesikika akisema kuwa nimekuja hapa kazi ya milioni 500 sijaiona kabisa kilichofanyika ni kupaka rangi ,kuta mbuvu na si wezi kuwa katika dhambi ya kuhararisha kwa hiyo nimegoma ' uzinduzi wa majengo hayo 'na nimeagiza kwa chuo kupata maelezo kwa wote waliohusika na kuahidi kuwachukulia hatua wote walioshiriki ''
Pia amempa onyo Mgaga Mkuu wa Mara juu ya fedha nyingine zilizopelekwa kwaajili ya ukarabati na ujenzi wa vituo saba vya utoaji wa huduma wa afya katika Mkoa wa Mara na kumtaka kusimamia kikamilifu matumizi ya fedha na vituohivyo ili viweze kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Mara.

No comments
Post a Comment