NEC , yawabwga wagombea 15 Uchaguzi mdogo wa Agosti 12 mwaka huu.
Tume ya uchaguzi ya Taifa[ NEC ] imesema kuwa rufaa 25 zilizokatwa na wagombea wa udiwani 10 wameshinda na 15 wameenguliwa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa NEC , Dk Athumani Kihamia na akibainisha kuwa Tume ilipokea rufaa 25, ambazo walizifanyia kazi kwa mjibu wa sheria za uchaguzi.
Athumani ,amesema kuwa jumla ya wagombea 10 wamerejeshw katika nafasi zao za kugombea na wagombea 15 rufaa zao hazikufanikiwa hivyo hawataendelea kuwa wagombea. Pia ameendelea kusema kuwa katika uchaguzi wa Agosti 12,2018 kati ya Kata 77 Wagombea Udiwani30 ,wamepita bila kupingwa.
Mkurugenzi huyo wa Uchaguzi amevitaja Vyama vinavyoshiriki katika Uchaguzi kuwa ni ,ACT Wazalendo ikiwa na wagombea 1 7 ikiwa ni sawa na asilimia 12 ,ADC Wagombea 3 sawa na asilimia 3.9 ,CCM , wagombea 77 sawa na asilimia100 , CHADEMA ,Wagombea 54 sawa na asilimia 70 , CHAUMA ,Ina wagombea 2 sawa na asilimia 2.6 ,CUF ,Wagombea 17 sawa na asilimia 22 ,Demokrasia makini wagombea 4 sawa na asilimia 5.2 ,NCCR Mageuzi wagombea 6 sawa na asilimia 8
Dk Kihami ,amesema kuwa katika Jimbo la Buyungu wagombea 10 wa Vyama mbalimbali walijitokeza kuchukua fomu za kugombea na wamepitishwa kati yao wanaume ni tisa na mwanamke ni mmoja.

No comments
Post a Comment