Header Ads

Header ADS

yves bissouma asaini miaka mitano kuitumikia kuichezea clabu ya brighton and Hove Albion akitokea ufaransa

Kiungo wa clabu ya lille ya ufaransa yves Bissouma amesaini kandalasi la miaka mitano kuitumikia klabu ya Brighton and Hove albion kiungo huyo ambaye ana umri wa miaka 21    , amesha itumikia tim ya taifa ya Mali kwa mda wa miaka 13 na kwa upande wa lille amecheza miaka 55  baada ya
kupanishwa kutoka katika kikosi cha kwanza mwaka 2016.
















  Meneja wa timu hiyo Chris Hughton alipo hojiwa na waandishi wa Tovuti ya clabu hiyo kuhusiana na kiungo huyo, amesema Yeves ni mchezaji mzuri kiufundi na anauwezo wa kuchezesha timu           Bissou ambaye ni mchezaji wa sita kusajiliwa clabuni hapo amesajiliwa kwa ada ya pauni milioni 17 inayo weka rekodi ndani ya clabu hiyo na anaaminiwa kuwa ataweza kuleta changamoto mpya zitakayo iwezesha clabu ya brigton kuimalika na kuimaliza ligi katika nafasi za juu tofauti na msim uliopita ambapo walimaliza nafasi ya 15.

No comments

Powered by Blogger.