Header Ads

Header ADS

Kaimu Mkurugenzi wa COSTECH atoa ufafanuzi kuhusu barua iliyosambazwa mtanaoni na Twaweza

Kaimu Mkuu mkurugenzi wa tume ya Taifa ya sayansi na Teknolojia [COSTECH],Amos Nungu leo amezungumza na vyombo vya habari kuufahamisha umma kuwa imejiridhisha na barua iliyokuwa inasambaa mitandaoni ni barua halali iliyotolewa kwa taasisi ya twaweza ili kupata ufafanuzi wa utafiti wao.
















Amosi amesema  tume imesikitishwa kuona mawasiliano ya kiofisi yanapelekwa mtandaoni hata kabla ya kupata majibu rasmi kwa mtu aliyepelekewa barua hiyo.
       Taasisi ya twaweza julai 5,mwaka huu ilitoa matokeo ya utafiti ambao ulizungmzia hali ya siasa ambapo imesema umaarufu wa Rais John Pombe Magufuli umeshuka kwa asilimia 55%. kwa   mwaka huu  wakati mwaka 2016 Ilikuwa ni 96%.


No comments

Powered by Blogger.