Basi la abiria la waka moto
Gari la Kampuni la Saratoga lililokuwa limebeba abilia 60 likitokea Kigoma kuelekea Sumbawanga limewaka moto ikiwa chanzo cha moto huo bado hakijaeleweka .
Kwa mjibu wa Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma Martin Otieno ,amethibitisha kuteketea kwa moto basi hilo likiwa na abilia 60 akiwa abilia wote wamefanikiwa kutoka wakiwasalama na baadhi ya mizigo ikiokolewa.
Martin Otieno , amesema kuwa basi hilo lilikuwa linatokea Kigoma Mjini kuelekea Sumba wanga limeteketea lote na hadi sasa bado wanachunguza na kubaini chanzo cha motohuo.

No comments
Post a Comment