Jeshi la Polisi limewatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendelelo Chadema.
Wakati Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake limelasimika kuwatawanya wafuasi wa CHADEMA ,Waliojitokeza Mahakamani kwaajili ya kusikiliza hukumu ya mapingamizi dhidi ya kiongozi wao Freemani pamoja na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Masther .
Kabla ya kuwatawanya wafuasi hao Jeshi la Polisi liliwataka wafuasi kutojihusisha na matendo yeyote yatakayotishia hali ya utulivu Mahakamani hapo jambo ambalo lilikuwa gumu kulingana na idadi kubwa ya watu waliofika mahakamani hapo kusikiliza kesi hiyo.
Kwa mjibu wa Jeshi liliwakataza wafuasi kutoimba nyimbo zozote Mahakamani hapo na kuwapiga marufuku kuingia ndani ya jengo la Mhakama ,Jambo ambalo lililalamikiwa na baadhi ya wafuasi.
Itakumbukwa kuwa uamzi wa mapingamizi juu ya madai ya Jamhuri juu ya kutosikilizwa kwa rufaa kwa Mtuhumiwa Freemani Mbowe pamoja na Esther Matiko leo inatarajia kutoa uamuzi Mahakama kuu kanda ya Dares Salaam.

No comments
Post a Comment