Wadau mbalimbali wa sekta ya elimu pamoja na wazazi wameshauriwa kuchangia katika sekta ya elimu.
Wadau wa elimu pamoja na Wazazi wameshauriwa kuchangia katika sekta ya elimu ilikuboresha zaidi maendeleo ya elimu.Hayo yamesemwa na Diwani wa Kata ya Mwembetogwa Mh .Silasi Makweta katika harambee ya kuchangia ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi Azimio iliyopo Makambako Mkoani Njombe .
Kwa upande wake Afisa elimu elimu maalumu Mwalimu Mtega amewapongeza wazazi pamoja na uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Mwembetogwa kwa jitihada wanazoonyesha katika swala la elimu.
Pia Mwalimu mkuu wa Shule ya Azimio Maisha Romanusi Mhapa amewataka wadau wa sekta ya elimu kuchangia ilikuweza kuboresha elimu zaidi ameyasema hayo wakati akisoma risala ya shule hiyo.Piaamesema kuwa shule Msingi Azimio imekubwa na chngamoto nyingi ikiwa nipamoja na uchache wa Madarasa upungufu wa Vifaa vya kujifunzia pamoja na michezo,ukosefu wa huduma ya maji ,kukosekana kwa huduma ya chakula cha mchana kwa wanafunzi,Ukosefu wa umeme shuleni ,pamoja na kutokuwepo kwa nyumba za Walimu..
Mkuu huyo wa Shule ametumia fursa hiyo kuwa omba wadau mbalimbali kuweza kuchangia ilikuwezesha kufanikisha maendeleo ya Shule hiyo ukilinganisha ipo mjini.
Imetumwa na Mwandishi
Mwita George Kihungu.

No comments
Post a Comment