Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakt ,Jonh Pombe Magufuli amefuta maelezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia juu ya matumizi sahihi ya Bendera ,Nembo pamoja na Wimbo wa Taifa
Amesema kuwa baruahiyo inatoa maelezo yanayoathiri uzalendo wa Watanzania na kuleta mkanganyiko.
No comments
Post a Comment