Header Ads

Header ADS

Katibu Mkuu wa chama cha ccm taifa atatimiza muda wa mwaka mmoja ifikapo mei 31 2019.

Katibu mkuu chama tawala Dkt.Bashir Ally atarajia kutimiza mwaka mmoja tangu kuwepo madarakani kuanzia mei 31 2018 mpaka mei 31 2019 baada ya kukaimu nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Abdulrahman kinana.











Bashiru alijijengea umaarufu huo huku wengi wakiamini kuwa aliwahi kuwa kada wa chama lakini ukweli ni kwamba chama cha mapinduzi kilimuamini Bashiru kuwa ataweza kuvaa viatu vya katibu mstaafu wa chama hicho  kutokana na usomi wake pamoja na uzalendo wake wa kweli na utaalamu wake wa sayansi ya siasa na kuwa ni mwenye umuhumu wa kipekee wa kushika nafasi hiyo.










Imani ya chama hicho haikupishana sana na baadhi ya wananchi wengi waliomjua vyema dkt.Bashiru huku wakiamini kuwa kutakua na ushirikiano mzuri kati ya serikali na chama tawala mara baada tu ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa chama hicho.


No comments

Powered by Blogger.