Baada ya ajali ya Morogoro JPM atuma salamu za rambirambi
Dkt,John Pombe Magufuli ashiriki pamoja na Watanzania wote kutoa salamu za pole kwa jamaa,ndugu, marafiki pamoja na familia zote zilizopoteza ndugu zao katika ajali ya Lori iliyotokea katika eneo la Msamvu Mkoa wa Morogoro iliyoperekea moto kulipuka kutokana na gari hilo kuanguka.
Aidha Ras wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ametuma salamu hizo za rambirambi leo Agosti 10,2019 pamoja na kuzitaka Wizara zote zinahusika,kushughulikia ajali hiyo na kuzitaka Hospital ya Mkoa wa Morogoro na hosptali ya Taifa muhimbili kuzitaka kuhakikisha majeruhi wote wanapatiwa matibabu na kuokoa maisha yao.
''Nimeumia sana kusikia idadi kubwa ya Watanzania waliopoteza maisha katika ajili hii,natoa pole kwa wote walioguswa na vifo hivi hasa familia za marehemu wote,nawaombea marehemu wapumzike mahali pema peponi na majeruhi wote wapone haraka''.Amesema Rais Magufuli
Pia Magufuli amesema amesikitishwa na vitendo vya watu kuvamia magari yanayopata ajali kwa dhumuni la kujipatia kipato.
''Baadhi ya magari hayo yanabeba mafuta ambayo ni hatari,ilivyotokea Morogoro,yapo magari yanabeba kemikali za sumu,yapo magari yanabeba mlipuko,nawaomba sana tuache tabia hii''. Rais Magufuli ameendelea kusisitiza.
Kulingana na taarifa ya Ikulu hadi sasa ni zaidi ya watu 60 wameaga dunia na wengine 70 kujeruhiwa.

No comments
Post a Comment