Ili kumaliza Migogoro kati ya Uganda na Rwanda,Paul Kagame na Yoweri Museveni Wasaini Mkataba
Rais wa Rwanda Paul Kagame pamoja na rais wa Uganda Yoweri Museveni wameungana pamoja na kusaini Mkataba wa makubaliano ya amani katika Mji mkuu Angola,Luanda ili kumaliza mgogoro uliopo baina ya mataifa hayo mawili.
Makubaliano hayo wameyafanya katika mkutano wa pili huko Luanda mbele ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,Angola akiwepo na Rais wa Congo Brazaville wakiwa ndio wapatanishi pekee katika Mgogoro huo.
Baadhi ya Maafisa Nchini Rwanda wameishutumu Uganda kwa kwenda kinyume na Sheria kwani inadaiwa wamekuwa wakiwatesa raia wa Rwanda wakiwaq Nchini kwao huku Uganda nayo inaishutumu Rwanda kutekeleza ujasusi katika katika ardhi yake.
''Tutashughulikia matatizo haya yote''.Rais Kagame amewaambia waandishi wa habari baada ya kusaini makubaliano hayo.

No comments
Post a Comment