Je mtoto anaweza kunyonyeshwa na mama mwenye Virusi vya Ukimwi?
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha BBC imeeleza kwamba changamoto kubwa kwa wamama ni maambukizi ya Virusi vya Ukimwi[HIV] na pia wamama hao walioathirika na magonjwa hayo wanapoitaji kuwanyonyesha watoto wao mara baada ya kujifungua.
Uwezekano wa mama kumuambukiza mwanae magonjwa hayo ni mkubwa sana pindi anapomnyonyesha .
Hivyo basi,kulingana na kasi ya maambukizi ya HIV katika Seli nyeupe za damu katika na maziwa ya mama pindi awapo mjamzito,hiyo imekuwa hofu kubwa sana mana hali hiyo huongeza uwezekano mkubwa kwa mtoto kupata maambukizi hayo kutokana na kunyonya ziwa la mama.
Kutokana na kasi ya juu ya Virusi katika Plasma,kupitia maziwa ya mama inaonekana kuwa chanzo kikuu cha maambukizi ya virusi vya HIV kutoka kwa mama hadi kwa mtoto na maambukizi hayo yamekadiriwa ni karibu 30%.
Akina mama walioambukizwa virusi vya Ukimwi katika Taifa la Rwanda wanaweza kujifungua na kunyoshesha watoto wao pasipo mtoto kuambukizwa.
Hiyo imetokana na mara tu baada ya Serikali ya Taifa hilo ilipoamua kuabzisha kwa kampeni ya kusaidia akina mama walioambukizwa virusi hivyo kuwanyonyesha watoto wao bila kuwaambukiza Ukimwi.
Katika vituo vya afya na hospitali zote nchini humo kampeni hiyo hufanyika.
Kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Yves Bucana ambaye aliembelea katika kituo cha afya cha Remera Mjini Kigali,kuwa mirefu ya akina mama wanaoishi na virusi vya Ukimwi haiishi,na baadhi wanaonekana wakiwa wajauzito na wengine wamebeba watoto zao.
Wanaudhuria katika kituo hicho ili kuweza kupata ushauri nasaha kwa Daktari ili kuweza kujilinda kuambukiza watoto wao,ndivyo hivo hata hakina mama waliokwisha jifungua tayari huudhuria kwa Daktari ili kupata njia mbalimbali ya kuendelea kuwalinda watoto wao pamoja na kufanyiwa ukaguzi wa kina jinsi wanavyofuata utaratibu wa kuwalinda watoto zao dhidi ya maambukizi .
Hayo ni katika kampeni iliyoanzisha na Serikali ya kusaidia akina mama wajauzio pamoja na wanaonyonyesha jinsi ya kuwahudumia watoto wao pia hata kuwalinda dhidi ya maambukizi hayo.
Mkuu wa kituo cha afya ambaye ni Emile Musabyimana anasema''Tunawasaidia akina mama kuwa na afya njema pamoja na watoto zao.Tunapima kinga yake mwili kuona kwamba haijapungua pamoja na kiwango cha virusi alivyonavyo.Tunamfanyia vipimo kadri mtoto anavyokua.Hii haiwezi kumzuiya mtoto kunyonya.Hakika asilimia 99 ya watoto hawawezi kupata maambukizi yeyote''.
Akizungumza na BBC mama mmoja ambaye jina lake limeifadhiwa ameeleza kwamba,vipimo alivyofanyiwa kabla hajajifungua vilibaini kuwa ana Virusi vya Ukimwi lakini alifuatiliwa kwa karibu na Daktari hadi alipojifungua.''Sasa mtoto wangu amitimiza umri wa miezi 9 na hana maambukizi yeyote,na jambo muhimu lilikuwa ni kumuokoa mwanangu na hili kutimiza hilo ni lazima ufuate masharti na ushauri wa Daktari.''Alisema
Hata hivyo ameongezea kwamba ''Masharti ni magumu lakini lazima kuyafuata yaani saa ya kumeza dawa kwako wewe na pia kwa mtoto wako.Usizidishe hata dakika moja.Lazima kutembea na dawa ikiwa unahisi saa ya kutumia dawa itafika ukiwa haupo nyumbani,ujue una hatari sana ya kujifungua mtoto na ushindwe.Kunyonyesha mtoto ni raha kitu muhimu kwa sababu mzazi anahisi upendo wa mtoto wake na vilevile mtoto anahisi upendo wa mamake wakati wa kumnyonyesha.''Amesema.

No comments
Post a Comment