Header Ads

Header ADS

Rais wa kwanza Nchini Gambia Mh.Jawara,akiwa na umri wa miaka 95 ameaga dunia

Rais huyo wa Gambia ambaye alifanikiwa kuanzisha chama cha PPP nchini humo ambacho kiliongoza nchi hiyo mpaka ilipojipatia uhuru wake mnamo mwaka 1965.na Ofis ya Rais iliyoko madarakani nchini Gambia imempa heshima Jawara na kumuita kuwa ni baba wa Taifa hilo.
    Dawda Kairaba Jawara ambaye ni Rais wa kwanza kabla ya uhuru wa nchini Gambia akiwa na miaka 95 ambapo alitawala kwa miaka 24 Taifa hilo dogo ambalo lipo Afrika Magharibi kabla ya kuondolewa kwa Mapinduzi mnamo mwaka 1994.











Adam Borrow ambaye ni Rais wa Gambia aliyepata Urais kwa uchaguzi uliofanyika mnamo 2016 ambaye alimuondoa madarakani Jawara,na kumaliza utawala wa Ofisi wa Jeshi Yahya Jammeh ulimuelezea Marahemu huyo ni kama Mzee wa kuheshimiwa pia ni Baba wa Taifa la Gambia.
    Rais huyo ambaye pia alikuwa Daktari wa wanyama pia ambaye ni muanzilishi wa chama cha PPP mnamo mwaka 1959,ambapo chama hicho kilifanikiwa kuongoza Taifa hilo mpaka lilipojipatia uhuru wake mnamo mwaka 1965.Hata hivo alikuwa Waziri Mkuu Nchini Gambia kuanzia mwaka 1962 hadi 1970 kabla ya katiba ya nchi hiyo kubadilika kuwa jamuhuri 1970 na yeye kuwa Rais wa kwanza Nchini humo.

No comments

Powered by Blogger.